Johnny Cash (jina la kuzaliwa: J. R. Cash; 26 Februari 1932 – 12 Septemba 2003) alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Huyu anatazamiwa kama miongoni wa wanamuziki wenye athira kubwa katika medani ya muziki kwa muda wote. Hasa alifanya muziki wa country, nyimbo zake zikipigwa husika kuchanganya aina nyingi za muziki wa kama vile rockabilly na rock and roll (ususani wakati anaaza shughuli hizi), vilevile blues, folk na injili..
Marejeo
- ↑ Johnny Cash - Guitars and Equipment Uberproaudio.com. Retrieved on 2009-05-15.
Viungo vya nje
| Wikinews has related news: Fire burns home of late singer Johnny Cash |
- Official Webcast
- Official Website
- at the Country Music Hall of Fame
- at the Rock and Roll Hall of Fame
- at the Rockabilly Hall of Fame Ilihifadhiwa 16 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- at the Hit Parade Hall of Fame Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Johnny Cash at the Internet Movie Database
- Larry King's November 26, 2002 interview With Johnny Cash on CNN
